Hallo! Tracked shipping to Austria with Delivery Duty Paid for just €3.99  

Ship to
Austria
0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional

Select your country

Americas

Europe

Rest of the world

portada Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (in Swahili)
Type
Physical Book
Author
Language
Swahili
Pages
52
Format
Paperback
Dimensions
17.8 x 12.7 x 0.3 cm
ISBN13
9783964462268

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (in Swahili)

Gabriele (Author) · Gabriele Publishing House · Paperback

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (in Swahili) - Gabriele

New Book Imported to Austria
Delivery: 12 Aug - 14 Aug Shipping: 4 to 5 business days.
14,71 €
Import costs and 10% VAT included in the price ✅
14,71 €

Synopsis "Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (in Swahili)"

Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (...) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.

Customers reviews

Frequently Asked Questions about the Book

All books in our catalog are Original.
The book is written in Swahili.
The binding of this edition is Paperback.

Questions and Answers about the Book

Do you have a question about the book? Login to be able to add your own question.

Opinions about Bookdelivery

More customer reviews