Hallo! Tracked shipping to Austria with Delivery Duty Paid for just €3.99  

Ship to
Austria
0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional

Select your country

Americas

Europe

Rest of the world

portada Malezi Yaliyo na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora (in Swahili)
Type
Physical Book
Language
Swahili
Pages
180
Format
Paperback
ISBN13
9780997281668

Malezi Yaliyo na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora (in Swahili)

Dr Roy W Harris (Author) · Rhmpublications · Paperback

Malezi Yaliyo na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora (in Swahili) - Dr Roy W Harris

New Book Imported to Austria
Delivery: 07 Sep - 14 Sep Shipping: 17 to 21 business days.
24,13 €
Import costs and 10% VAT included in the price ✅
24,13 €

Synopsis "Malezi Yaliyo na Hizia Njema: Kinacho Elekeza Malezi Bora (in Swahili)"

Ufafanuzi mwepesi kuhusu ulezi ni mshauri anayeaminika, na mwalimu kulingana na tafsiri ya oxford. Etimologia wengi wana elezea chanjo cha mlezi, Tabia kwa Horners Odyssey. Aliyekuwa rafika wakutumainiwa wa Odysseus. Neno mlezi, katika karneya sasa, kwanza ilitazamwa katika mapema karne17. Imekipana na marekebisho makubwa miaka kumi iliyopita au saidi na sasa ni kuna lugha na tamko tofauti sinazo Nnenwa ulimwenguni. Hakuna jambo lililo mpya kuhusiana na malezi. Walezi, walilea na watu wakipokea malezi yalianza wakati wa kwanza watu walipoanza kutembea ulimwenguni. Tabia ya walezi, na njinsi wale walio wanafunzi jinsi wanavyopokea malezi, na mbinu inayochukuliwa na kuelekezwa na walezi wote uchangia ufanisi au kushindwa kuhusiana na mwondoko wa ulezi au mwenendo. Watu wengi ni egezo la kijumla kuhusiana na (ulezi) ambayo watu wengine wanamimina maishani kwa sababu yakile watu walipanda maishani mwako na kudhania kuwa utafanyika. Tuna majukumu kupeana katika hali ya kuongeza ndani ya maisha ya wengine na kuwasaidia wawe watu Mungu alikusaidia wawe. Mwandishi huyu alipeana halihii ya kulea kwa kuwaelekeza wengine na kusababisha mbinu inayofaa kuleta na kufanyika walezi wanao fanikiwa. Kitabu kinachukua mwelekeo ambao mtu yeyote yule anaweza kuelewa na kufahamu hatua kwa hatua katika barabara ya ulezi. Malezi yanaitaji muda wa kuegeza, Talanta, na hasina, lakini matokeo ni pora sana kuliko kuegeza. Malezi ya wakati wote upokee hasa kama sio mengi kuhusiana ulezi kwa wengine hasa wale wanaopokea ulezi. Soma kitabu hiki ukiwa katika hali ya maombi, tamanio la kuegeza katika maisha ya wengine, na kuwa tayari kujifunza, utaweza kushangaa kuhusiana na kile Mungu atafanya na pamoja kukupitia wewe na uguzo wa ajabu utakao wekeza katika maisha yaw engine.

Customers reviews

Frequently Asked Questions about the Book

All books in our catalog are Original.
The book is written in Swahili.
The binding of this edition is Paperback.

Questions and Answers about the Book

Do you have a question about the book? Login to be able to add your own question.

Opinions about Bookdelivery

More customer reviews